Heri iwe kwenu na kwangu pia.
Nasikitishwa na kuwaonea huruma watu wengi, maisha ni kujifunza kila siku kutokana na changamoto zake. Tunashindwa kuelewa na kujifunza,hivi hamuwezi kununua mahitaji mapema?
Ni siku chache mno zimebaki kufikia siku ya sikukuu watu wanauziwa vitu kwa bei ghali ambayo haina uhalisia na thamani yenyewe.
Watu kibao hasa hapa KARIAKOO jijini Dar es Salaam ni Hatari watu wanaibiwa, huu ni uzembe.
Ndugntujirekebisheni tuwe tunajipanga.