Sikuku ya IDDI EL HAJ

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
Salaam Aleiku Wana JF.

Kuna mkanginyiko kidogo kwenye kalenda. Naomba kufahamishwa sikukuu hii muhimu ya EID EL HAJI itasherehekewa lini?

SHUKRANI.
 
Acha uvivu wewe! ! Tunajua wewe unaangalia itaangukia siku gani
 
Acha uvivu wewe! ! Tunajua wewe unaangalia itaangukia siku gani

Tatizo liko wapi? Mbona hata BAKWATA huuliza kwa wenzao ili kupata uhakika?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…