hapo wote wana makosa,huyo mkaka kwa nini akatae mimba wakati ye ndo muhusika? au ndo alikuwa anakwepa kuitwa baba badala yake ana endekeza usharobaro, mana wakaka wa siku hizi wanapenda kugegeda tu lakini ikitoe majukumu wanamwachia mwanamke, hili ni kosa la mwanaume
mdada nae kakosea kwenda kugombana mana hata angemuua isingekuwa solution,na pia yeye kwa nini alikubali bila kinga?na kwa nini asikubali kumpeleka mtoto kwa wazazi wa mwanaume? inaonekana mdada kampenda sana mkaka na anataka waishi wote lakini ndo sharobaro hataki,hili ni kosa la mdada.
mwisho nasema wote wana makosa walianzaje kugegedana bila kinga wakati hawako kukabiliana na matokeo ya hicho walichokifanya?