SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,814 May 27, 2016 #1 Kama taifa tunapaswa kuwa na siku za usafi za kitaifa ambazo wananchi bila kujali itikadi tutafanya usafi maeneo yote ya wazi na sehemu za makazi/biashara. Tukumbushane tulikubaliana siku za usafi ziwe lini Kitaifa?
Kama taifa tunapaswa kuwa na siku za usafi za kitaifa ambazo wananchi bila kujali itikadi tutafanya usafi maeneo yote ya wazi na sehemu za makazi/biashara. Tukumbushane tulikubaliana siku za usafi ziwe lini Kitaifa?
Garinoma Member Joined May 27, 2016 Posts 10 Reaction score 5 May 27, 2016 #2 Juma mosi ya kila mwisho wa mwezi
Gut JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 2,852 Reaction score 3,404 May 27, 2016 #3 Usafi ni kila siku.
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,814 May 27, 2016 Thread starter #5 Asanteni kwa kunikumbusha
breki sifungi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 694 Reaction score 409 May 27, 2016 #6 kwani we hua unaoga siku gani?