Jamaa ana mpenziwe wamependa kiukweli wanavodai wao nakuelezana hivyo kiasi kwamba,password za bank card,e-mail wamepeana.Wameahidiana hawatakuja kusalitiana milele.
Wote hawa wana ujuzi kutumia mitandao ya kijamii kama huu.Wote wapo kwenye mtandao fulani na siku ya siku wakajikuta wanachati kwenye thread na mara Ku PM each other wakitumia majina yao ya bandia.Na kila mmoja asijue anachat na nani hasa.Ikafika point wakakubaliana kuwa wapenzi kwani walikua wanaambiana hawana wapenzi wengine.
Mambo yakaendelea hivi kule home wakirudi kila mtu akijifanya mtakatifu kwa mwenzie na kuonyeshana mapenzi motomoto wala hathubutu kutaja mchumba mpya wa kwenye mtandao.
Basi huko mtandaoni wakati wakichat wakakubaliana kwamba imefika muda sasa wakutane na kufahamiana zaidi.Mwanaume kampa location mwanamke kwamba akae hapo taxi itakuja kumchukua na kumpeleka hotel na chumba alipo.Siku haikukawia ikafika dada kachukuliwa kama ilivyo pangwa kupelekwa huko kwa mpenzi.Gari imefika Hotelini dada kapelekwa kaonyeshwa chumba,kagonga mlango,mlango ukafunguliwa......................guess what happened!!!!!alafu uniambie hii kesi itapelekwa mahakama gani?
Kama msichana ntasema nilijua tu toka mwanzo unanisaliti mpenzi wangu ndo maana nimekuja mpaka hapa kukukamata namgeuzia zali jamaa:wink2::wink2::wink2::wink2:
tatizo wanawake w cku hz vicheche sana ....ht km 2mefumaniani mwanamke lazima nimtie vibao.
Duuu mkubwa, wote vicheche halafu umpige mwenzako.... byu the way hadithi nzuri sana kwa kulalia!!!!!!
Kama msichana ntasema nilijua tu toka mwanzo unanisaliti mpenzi wangu ndo maana nimekuja mpaka hapa kukukamata namgeuzia zali jamaa:wink2::wink2::wink2::wink2:
Huyu sister na yeye kazidi. Yaani first meeting Chumbani?
alafu uniambie hii kesi itapelekwa mahakama gani?
na mimi nakujibu, nilijua tu mpenz wangu unanidanganya, ndio maana nakaamua kufuatilia nyendo zako mpaka leo hii nimekudaka red handed,,, sasa sjui nani ataonekana mkweli hapa
Kama msichana ntasema nilijua tu toka mwanzo unanisaliti mpenzi wangu ndo maana nimekuja mpaka hapa kukukamata namgeuzia zali jamaa:wink2::wink2::wink2::wink2:
Kwa mtazamo wa ghafla huu ni uongo. Yaani hata mtu hujui anaonekanaje, hamjawahi kuonana, braki ya kwanza ndani ya gest????!!!!!Jamaa ana mpenziwe wamependa kiukweli wanavodai wao nakuelezana hivyo kiasi kwamba,password za bank card,e-mail wamepeana.Wameahidiana hawatakuja kusalitiana milele.