African men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..
Leo Arusha wenzako wamekata viuno barabarani mchana kweupe, wote tulioshuhudia tukasema hewalaa, sherehe hii iongezewe siku ili walau iwe mara mbili kwa mwaka

Hii siku ni kwa baadhi ya wanawake wapiga dili wa mjini, wanaoitumia siku hii kujinufaisha kiuchumi, nazungumzia kwa Tanzania, sijui kwa nchi nyingine.