Another serious problem in the world is African men.
Kivipi?Another serious problem in the world is African men.
Upo Afrika?Kivipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kivipi?
Hapana nipo chile huku ndio mana nimekuulizaUpo Afrika?
Mzima?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijambo mimiMzima?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Sijambo mimi
African men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..Hapana nipo chile huku ndio mana nimekuuliza
Uchochez[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe umechukua hatus gani kama mwanaume?African men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..
Nmekataa kuongozwa na wanaume wasiokuwa na vision ya kututoa hapa tulipo.Wewe umechukua hatus gani kama mwanaume?
Si uhame bara la africa ukaishi bara lingineNmekataa kuongozwa na wanaume wasiokuwa na vision ya kututoa hapa tulipo.
Huwez kutatua tatizo kwa kulikimbia tatizo.Si uhame bara la africa ukaishi bara lingine
Ahahah mkuu hii nimeiona nimecheka sana aisee....huyu jamaa aliyepo nyuma ya hii page aisee jamaa yupo vizuri.
Basi ongeza bidiiHuwez kutatua tatizo kwa kulikimbia tatizo.
Mwanao akiwa mtukutu huwez kumbadilisha kwa kumkimbia.
nitakuwa nafanya kama wale jamaa wa back to afrika movement