ha ha kuna jamaa alikua chumba cha jirani yangu siku alivyooa usiku akapiga kelele watu tukaamka kumuuliza kulikoni akasema hamna kitu.
Basi kutokana na uswahiba tulionao asubuhi ikabidi nimuhoji vizuri daah akaniambia amezoea kulala mwenyewe hasa usiku alivyoamka kuona kuna mtu kitandani akashtuka akajikuta amepiga makelele!!