Umenikumbusha mzee wangu alikuja dar. Sa bro wangu na mkewe ealikuwa wanasali kwa mwingira tena wanakaa seat za mbele.Ilikuwa hivi, baada ya kupambana dar, ili nipate nauli niende nyumbani, singida
Nilifanikiwa kufika nyumbani ila .
Ulifanya kosa kuahidi hizo buku mbili, ulipaswa utoe cash ulichonacho, hakuna andiko linalomshurutisha mtu kuahidi sadaka.Ikawa kila mtu ana ahidi kiasi au kitu atakacho changia mm nikaahidi 2000
i bet mzee hakurudi tena hukoUmenikumbusha mzee wangu alikuja dar. Sa bro wangu na mkewe ealikuwa wanasali kwa mwingira tena wanakaa seat za mbele. Si wakaenda naye, sa sijui walikuwa wanachangisha pesa ya nini watu wanaahidi mamilioni walipofika kwa mzee, mzee akasema atatoa 50,000 maana ilikuwa wanauliza.mmoja.mmoja aliyekaa mbele. Wacha mwingira amchane 😂😂 unatoaje 50,000
Kamwe unachanwa kanisan kuwa kanisa lake hasa wanaokaa mbele si watu masikini unarudi vipii bet mzee hakurudi tena huko
Kumbuka jinsi Yesu alivyojitolea pale msalabani kwa ajili yetuNimejikuta nakakumbuka haka kawimbo miaka hiyoooo
"Toa ndugu, toa ndugu ulichonacho wewe...
Bwana anakuona mpaka rohoni mwako...
Wiki nzima Bwana Mungu amekulinda vyema...
Sasa nawe ndugu umtumikieee..."
Huko kunaitwa kutanga na njia. Mfano na wao wakianzisha jambo usilopenda utahamia kwa wahindu au wapagani?Ndio maana nilisilimu na kuwa muislamu.
Huko kumejaa utapeli ,unafiki na maigizo ya kijinga.
Pia hakuna linalokubana kutoa cash.Ulifanya kosa kuahidi hizo buku mbili, ulipaswa utoe cash ulichonacho, hakuna andiko linalomshurutisha mtu kuahidi sadaka.
Mabikira 70 huko peponi wameteka wanaume wengi sana wakawa Waislam kisa hiyo ahadi ya hao warembo.Umeenda uislam ikwa ahadi za nyuchi
mi nilishawahi tembelea kanisa flani miaka hiyo kutembelea tu nikaambiwa niahidi afu mgeni then umri bado na hela sina sijarudi tena (yani hadi mgeni kweli ?)Ilikuwa hivi, baada ya kupambana Dar, ili nipate nauli niende nyumbani Singida.
Nilifanikiwa kufika nyumbani ila mfukoni nikiwa nimebakiwa na 500 tu, basi jumapili nikaenda kanisani kusali baada ya ibaada kuisha kukawa na mchango wa ujenzi wa kanisa.
Ikawa kila mtu ana ahidi kiasi au kitu atakacho changia mm nikaahidi 2000 wakakataa, muda huo pesa ya sabuni naomba kwa mama kwani sikuwa na biashara yeyote,
Basi bana wakanibana wee mpaka stimu za sala zikanikata, nikakubali nitatoa 3000 nilipoondokaga sikugeuka nyuma
Hii kitu ya kulazimisha watu waahidi vitu vilivyo nje ya uwezo wao lipo mana baadhi ya Malamud.
huna lolote wewe Mwajuma alikwambia mi hunioi hadi uwe mwislamu leo unasema maigizo na unafiki utachomwa moto siku ya kiyama kwa kosa la kudanganyaNdio maana nilisilimu na kuwa muislamu.
Huko kumejaa utapeli ,unafiki na maigizo ya kijinga.
Hakuna dini iliyohalalisha ushoga.. ila nchi zenye wa cristu wengi, ndio nchi ambazo zina uhuru kuwa unavyotaka.. mashoga huko unaruhisiwa...Kati ya waislamu na wakristo wapi waliohalalisha ushoga?
una uhakika huko ulikohamia hakuna hayo uliyoyataja hapo chini ?Ndio maana nilisilimu na kuwa muislamu.
Huko kumejaa utapeli ,unafiki na maigizo ya kijinga.