Una pointi mwanakijiji lakini siasa ikiwa chafu ikapelekea mapigano hata kanisani so for the mean time inabidi siasa ipewe kipaumbele katiba mpya
Mkuu huyu aliyepost sio mwanakijiji, ni Mzee wa kijiji check ID yake
Ni sikukuu ya pasaka. Kila Askofu aliyepata nafasi ya kuzungumza, alizungumzia siasa: katiba mpya, amani na mustakabali wa taifa. Kwanini tafakari za siku muhimu kama hii zisilenge kuwajenga waumini na wananchi wengine kiroho zaidi? kwanini siasa zinachukua sehemu kubwa ya maisha ya wa TZ kama vile ndiyo maisha yenyewe? Tuna muda mrefu wa kujadili siasa, mwaka mzima. Siku hizi chache za sikukuku kwanini tusiimarishe imani? Bila imani (kila mtu ana yake) kuna siasa safi?

Nikiingia kwenye hoja moja kwa moja bila kumsaili mleta hoja ni kwamba tathmini yake ni yakinifu tatizo kasahau ama kaaacha makusudi kuelewa kua km ilivyo kwa kilimo kua uti wa mgongo (msiniulize mbonaaaaa....sitajibu) wa taifa kwa maana ya chakula na uchumi kwa kiasi chake vivyo hivyo siasa safi ni uti wa mgongo ama tuite ugoko kabisa kwa ustawi wa taifa! Sioni kosa kutoa neno la heri kwenye dini kwa ajili ya siasa kwa kua km siasa ikiingia mdudu si wewe wala wale wanaotaka kuwepo majukwaa maalum ya kuzungumzia siasa watakua na amani...siasa ni kwa ajili ya watu..popote penye mkusanyiko wacha mbegu idondoke!