Ni kwasbabu ya roho mbaya ya ndugu zetu siku hizi ndo maana wanapenda maiti kuliko ulioko hai.We mleta mada unamawazo gani kwa hili swala,? Ulivyofanya utafiti ungewauliza waumhusika tupate kujua.
Kuna jamaa tulikuwa tunamtibu hapa alivunjika. Ametibiwa amepaona lakini ndugu walikuwa hawaji kumuona Wala kulipa madeni. Pigiwa simu hawaji.
Deni limeongezeka mpka kulipika ni shida.Jamaa akamuambia daktari, wapigie simu ndugu zangu waambie nimekufa.
Waje wachukue maiti.
Simu ikapigwa
Ndugu wamepokea.
He, amekufa!!? Basi tunakuja baba!!
Baada ya siku 2 wamekuja na jeneza na gari wamekodi.
Kwenda wodini wakapewa faili.
Kalipieni madeni tuwape kibali mkachukue mwili wa marehemu.
Wakaenda uhasibu wakalipa madeni. Wamerudi wodini na risiti wakamkuta jamaa amekaa kwenye benchi anawasubiri.!!
Wakaangua kilio Tena.
Jamaa likawaambia, si mlitaka nifie huku huku. Nimefufuka Sasa.Twendeni nyumbani Sasa tukamalizane huko huko.!!!
Just imagine, mtu katibiwa na kupona ndugu hawaji kumsalimia Wala kulipa gharama.
Walipoambiwa amefariki wakapata pesa za kukodi gari, kununua jeneza na kulipa gharama za hospitali.
Ina maana Hawa watu walikuwa wanaithamini zaidi maiti wanayoenda kuizika kuliko mtu aliye hai.
Hata Kama ndugu yako Ana mapungufu kiasi gani, uhai wake ni muhimu zaidi.
Thamini ndugu yako akiwa hai.
sent as received
Hv vitu vipo kweli.Kuna jamaa tulikuwa tunamtibu hapa alivunjika. Ametibiwa amepaona lakini ndugu walikuwa hawaji kumuona Wala kulipa madeni. Pigiwa simu hawaji.
Deni limeongezeka mpka kulipika ni shida.Jamaa akamuambia daktari, wapigie simu ndugu zangu waambie nimekufa.
Waje wachukue maiti.
Simu ikapigwa
Ndugu wamepokea.
He, amekufa!!? Basi tunakuja baba!!
Baada ya siku 2 wamekuja na jeneza na gari wamekodi.
Kwenda wodini wakapewa faili.
Kalipieni madeni tuwape kibali mkachukue mwili wa marehemu.
Wakaenda uhasibu wakalipa madeni. Wamerudi wodini na risiti wakamkuta jamaa amekaa kwenye benchi anawasubiri.!!
Wakaangua kilio Tena.
Jamaa likawaambia, si mlitaka nifie huku huku. Nimefufuka Sasa.Twendeni nyumbani Sasa tukamalizane huko huko.!!!
Just imagine, mtu katibiwa na kupona ndugu hawaji kumsalimia Wala kulipa gharama.
Walipoambiwa amefariki wakapata pesa za kukodi gari, kununua jeneza na kulipa gharama za hospitali.
Ina maana Hawa watu walikuwa wanaithamini zaidi maiti wanayoenda kuizika kuliko mtu aliye hai.
Hata Kama ndugu yako Ana mapungufu kiasi gani, uhai wake ni muhimu zaidi.
Thamini ndugu yako akiwa hai.
sent as received
Copied threadKuna jamaa tulikuwa tunamtibu hapa alivunjika. Ametibiwa amepaona lakini ndugu walikuwa hawaji kumuona Wala kulipa madeni. Pigiwa simu hawaji.
Deni limeongezeka mpka kulipika ni shida.Jamaa akamuambia daktari, wapigie simu ndugu zangu waambie nimekufa.
Waje wachukue maiti.
Simu ikapigwa
Ndugu wamepokea.
He, amekufa!!? Basi tunakuja baba!!
Baada ya siku 2 wamekuja na jeneza na gari wamekodi.
Kwenda wodini wakapewa faili.
Kalipieni madeni tuwape kibali mkachukue mwili wa marehemu.
Wakaenda uhasibu wakalipa madeni. Wamerudi wodini na risiti wakamkuta jamaa amekaa kwenye benchi anawasubiri.!!
Wakaangua kilio Tena.
Jamaa likawaambia, si mlitaka nifie huku huku. Nimefufuka Sasa.Twendeni nyumbani Sasa tukamalizane huko huko.!!!
Just imagine, mtu katibiwa na kupona ndugu hawaji kumsalimia Wala kulipa gharama.
Walipoambiwa amefariki wakapata pesa za kukodi gari, kununua jeneza na kulipa gharama za hospitali.
Ina maana Hawa watu walikuwa wanaithamini zaidi maiti wanayoenda kuizika kuliko mtu aliye hai.
Hata Kama ndugu yako Ana mapungufu kiasi gani, uhai wake ni muhimu zaidi.
Thamini ndugu yako akiwa hai.
sent as received
Jamii zisio jali maendeleo ndo chazo cha umasikini kwetu hapo, misiba tunajazano kwenye harambee za kutegeneza vyazo vya maji hatuendi.Huwa tunajali sana yasiyokuwa na maana kuliko yenye maana. Mfano ukiwaambia watu wakuchangie umsomeshe mtoto (kitu ambacho kuna manufaa ya muda mrefu) hawatachanga ila wapo tayari kuchangia sherehe (furaha ya muda mfupi)
Mwisho ni liliweka hivo put as recieved, au hukuelewa kiingereza mkuu pia sio mbaya watu wajadili tatizo ni nini.
Sent as received sikuiona mkuu...nilivyoona juu tu nikaacha kusoma...anyways ni sawaa kudiscuss haina shidaMwisho ni liliweka hivo put as recieved, au hukuelewa kiingereza mkuu pia sio mbaya watu wajadili tatizo ni nini.
Kuishi na ndugu wenye roho mbaya bora uhame mkoa ujitenge peke yako, kuliko kuishi na ndugu wenye hasadi.Ndio binadamu hao
Ndivyo maisha yalivyo. Just yesterday nilikuwa nachat na mama fulani anaumwa ana tatizo la kuganda damu inabidi achome sindano kila siku sindano 5000. Akawa anasema wadogo zake aliotumia maisha yake yote kuwasomesha wamepata kazi lakini hakuna nayemjali ameomba wachange walau apate 15000 ya kwenda hospital siku 3 kila mmoja anasema hana pesa wakati anaona status zao wametoka weekend kila mmoja na familia yake.Kuna jamaa tulikuwa tunamtibu hapa alivunjika. Ametibiwa amepaona lakini ndugu walikuwa hawaji kumuona Wala kulipa madeni. Pigiwa simu hawaji.
Deni limeongezeka mpka kulipika ni shida.Jamaa akamuambia daktari, wapigie simu ndugu zangu waambie nimekufa.
Waje wachukue maiti.
Simu ikapigwa
Ndugu wamepokea.
He, amekufa!!? Basi tunakuja baba!!
Baada ya siku 2 wamekuja na jeneza na gari wamekodi.
Kwenda wodini wakapewa faili.
Kalipieni madeni tuwape kibali mkachukue mwili wa marehemu.
Wakaenda uhasibu wakalipa madeni. Wamerudi wodini na risiti wakamkuta jamaa amekaa kwenye benchi anawasubiri.!!
Wakaangua kilio Tena.
Jamaa likawaambia, si mlitaka nifie huku huku. Nimefufuka Sasa.Twendeni nyumbani Sasa tukamalizane huko huko.!!!
Just imagine, mtu katibiwa na kupona ndugu hawaji kumsalimia Wala kulipa gharama.
Walipoambiwa amefariki wakapata pesa za kukodi gari, kununua jeneza na kulipa gharama za hospitali.
Ina maana Hawa watu walikuwa wanaithamini zaidi maiti wanayoenda kuizika kuliko mtu aliye hai.
Hata Kama ndugu yako Ana mapungufu kiasi gani, uhai wake ni muhimu zaidi.
Thamini ndugu yako akiwa hai.
sent as received
Wengine sio kwamba wanagombania kwa kukupenda, wanakuja kuakikisha kwamba kweli umekufa na umezikwa wewe hamna kufufuka tena jenezwa inafungwa na kufuri.Nashangaaga watu hadi wanapata muda wa kugombania maiti