SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 Apr 19, 2012 #22 Kwa mtindo huu, wasio na kazi wataanza kuua watu ili ipatikane vacancy.
mbweleko Senior Member Oct 31, 2009 158 29 Apr 19, 2012 #23 Yani hapa ndo kanivunja kambavu kangu kabisaa... Kweli jamaa mbishi... teh heh hih.... Attached to my letter is a copy of my CV and death certificate!!!
Yani hapa ndo kanivunja kambavu kangu kabisaa... Kweli jamaa mbishi... teh heh hih.... Attached to my letter is a copy of my CV and death certificate!!!
Aggrey86 JF-Expert Member Jun 26, 2011 853 155 Apr 19, 2012 #24 Jamaa ataki upumbavu kabisa akikosa tena hiyo kazi sijui itakuwaje!
Sashel JF-Expert Member Mar 6, 2012 212 84 Apr 19, 2012 #25 hahahha...I like it! sometimes you have to go an extra mile to get what you need
Bufa JF-Expert Member Mar 31, 2012 10,660 21,091 Apr 20, 2012 #26 Ahahahah! yo that's crazy, now that's persistence.
K kilolambwani JF-Expert Member Dec 3, 2010 395 75 Apr 20, 2012 #28 Hiyo kazi lazima apewe maana ana ushahidi wote, mpaka cheti cha kifo anacho
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Apr 20, 2012 #31 SIMBA WA TARANGA said: Kwa mtindo huu, wasio na kazi wataanza kuua watu ili ipatikane vacancy. Click to expand... siamini kama huo ndio mwisho wako wakufikiri mkuu SIMBA WA TARANGA Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
SIMBA WA TARANGA said: Kwa mtindo huu, wasio na kazi wataanza kuua watu ili ipatikane vacancy. Click to expand... siamini kama huo ndio mwisho wako wakufikiri mkuu SIMBA WA TARANGA
B babacollins JF-Expert Member Dec 23, 2010 901 212 Apr 20, 2012 #32 MadameX said: caught red handed... Click to expand... Ndo dawa yao wajiiri yani kawakomesha hata wasipomwita kawaambia ukweli
MadameX said: caught red handed... Click to expand... Ndo dawa yao wajiiri yani kawakomesha hata wasipomwita kawaambia ukweli
jacjaz JF-Expert Member Sep 7, 2011 440 205 Apr 20, 2012 #33 Anakaba hadi mate huyo,wakitema nayeye anafukia!
MBUTAIYO JF-Expert Member Nov 15, 2010 683 394 Apr 20, 2012 #34 Kaazi kwelikweli, Kwa juhudi hizi anastahili kujaza hiyo nafasi, ushahidi anao kwamba nafasi ni nyeupe.
Kaazi kwelikweli, Kwa juhudi hizi anastahili kujaza hiyo nafasi, ushahidi anao kwamba nafasi ni nyeupe.
Endangered JF-Expert Member Sep 22, 2011 922 228 Apr 20, 2012 #35 He's got the guts. Naamini kama msibani alikuwepo wakibisha atatoa mpaka picha. Lakini hii ya ku-attach na death cert noma. Aisee nimecheka kwa maumivu, maana nilikuwa darasani. Hii kali sana.
He's got the guts. Naamini kama msibani alikuwepo wakibisha atatoa mpaka picha. Lakini hii ya ku-attach na death cert noma. Aisee nimecheka kwa maumivu, maana nilikuwa darasani. Hii kali sana.