Umeongea hayo huku ukibubujikwa na machozi kama Lucas MwashambwaNi ukarimu tu umeongezeka uchoyo umepotea,
Kwani kuna ubaya kwenye jambo zuri na muhimu kama hili kutumia muda mfupi kulikamilisha na kufikia muafaka π
Kwahio umeshampa mshamba_mwingineImeisha hiyooππ
nishakula na mdomo nishafutaKwahio umeshampa mshamba_mwingine
NdiooπKwahio umeshampa mshamba_mwingine
[emoji1787]Huwezi oa we fala kwa staili hii.
mtulize huyo[emoji1787]
Sasa si bora anayesema ndiyo au hapana unajua moja, mwingine anasema umsubiri akupe jibu, anakusubirisha weee mpaka unaanza kumsahau.hata jogoo kuna mitembe hua inabidi mpaka aikimbize ndio aipande.
Uko wapi......
Hahahaha umeanzaUko wapi......
Nitaoa ila kwa kuchelewa sana.Huwezi oa we fala kwa staili hii.
Au anatongoza ili akataliweHajielewi,π€¨
π kumaanisha niniNi m$enge huyo
Kuuza mechi hapana usinishawishi.Itafanya kazi vzr
Moja kwa moja kwenye mada.
Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!
Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!
Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.
Chukuaaaanipeee....
Wewe utakuwa hadisam au wakishuaMoja kwa moja kwenye mada.