Siko mjinga kiasi hicho

Sasa na ww si una malengo yako? Au umesahau rais wako alisema 'ukitaka kula sharti nawe uliwe kidogo'
 

Mi nilifahamiana na mmoja kwa mbwembwe akaniambia asili yake ni uganda, na kinglish cha kuunga nkasema poa tukaenda sawa, tumepeana contacts, tukachat cku mbili, ya tatu kaniambia amesababisha shoti kazin kwake nimsaidie elf20, nkamwambia cna, cku ya nne kama kanipigia simu mabusu kibao niliposema aisee leo umenidatisha akasema my dear ijumaa kuna rafiki yangu anafunga ndoa naomba kama unaweza nitumie hela ninunue baibui, nkamwabia ntakujibu baada ya nusu saa, 30mns after akanibip kunikumbushia, nkamwandikia simple, "Hatujaonana unaniomba hela, tukikutana c utaniomba damu? Yamenishinda, tafuta -----mwingine yaonekana mm gear imefeli, alinijibu ka sms kafupi, MAPENZI NI KUSAIDIANA, Nilichoka sana nkamwabia kasaidiane na wengine si lazima mm., Wanawake wengine ni shida! Yataka moyo.
 
Ef amsini tu unakuja kufungua uzi JF, kama chenji haitoshi waachie wengine hizo luz bols...mi wanawake kama hao ndo nawataka, yani hao ndio wana-mean business mnatiana unampa chake, cha msingi ni kusev namba yake, ukibanwa unajipigia bila stress..
 
kwa hiyo unataka tukusaidieje.. au ni taarifa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…