[emoji106]
Kuna haja ya kufatilia maisha ya mtu hivi..
Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.
Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje.
Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima mzima na mabegi tayari kuja kukaa na mondi. Pengine ili lengo la kujiconnect lifikiwe, akabeba mimba chapchap, na muda mfupi baadaye waliona hawana chemistry.
Maneno aliyosaema huyu binti baada ya kuondoka Tanzania yalikuwa dhahiri kwamba mondi alitumika. Alisema "Sisi tukipata ujuzi kidogo tu, ukituonyesha, tunabeba na kufanya kweli".
Mambo mengi aliyoendelea nayo yalionyesha ameingia kwenye ushindani na baba wa mtoto wake.
Kaja kuleta mtoto, anaanza kujirahisi kama mnyama asiyweza kutawala hisia zake. Naona atazaa mtoto wa pili ili kumpigilia sawa sawa mondi.
Mambo ya nyota, tabia na kukosa maadili so forth hawayakumbuki tena.
Hapa hakuna love ila ni tamaa tu za mwili na malengo ya uchumi.
SIONI CHEMISTRY KATI YA HAWA WATU WAWILI!
Someone wanted some pics. Hazikuwekwa hapa kwa kila mtu. Na mimi siyo mtoto ni Babu, naugua kwa kuwa wanaoitwa vioo vya jamii kumbe ni vioo vya kuzimu!Kuna haja ya kufatilia maisha ya mtu hivi..
Mtoto wa kiume hebu maliza akili zako kwenye kutafuta hela.
#YNWA
Babu kila mtu aishi maisha atakayo.Someone wanted some pics. Hazikuwekwa hapa kwa kila mtu. Na mimi siyo mtoto ni Babu, naugua kwa kuwa wanaoitwa vioo vya jamii kumbe ni vioo vya kuzimu!
Mbona naona na wewe kama unanifuatilia? Live your life, usije ukaonekana unataka niamini unavyotaka wewe kwamba dunia imekuwa shamba la shetani watu wasionywe wala kuongozwa. Hilo halipo. Nisiposema Mungu atanihukumu. Wewe kama unaona hutaki uadilifu, usitake na mimi nisitake. No!Babu kila mtu aishi maisha atakayo.
Usitake kila mtu aishi kama mawazo YAKO yanavyoelekeza.
Live your life
Let them live their life.
Tafuta hela usipoteze muda kufatilia maisha ya mtu.
#YNWA
*****Mbona naona na wewe kama unanifuatilia? Live your life, usije ukaonekana unataka niamini unavyotaka wewe kwamba dunia imekuwa shamba la shetani watu wasionywe wala kuongozwa. Hilo halipo. Nisiposema Mungu atanihukumu. Wewe kama unaona hutaki uadilifu, usitake na mimi nisitake. No!
Wanaendana bana kwanza wote wadogo
Pili kila mmoja yupo onfire kutafuta kiki
Tatu mkenya mshamba anapelekeshwa tu maana kaleta mtoto copiraiti na domo ila hana hata endorsement hata moja aiseee
Khna watu walisema wakenya wana akili ila naona alikosea sana
Naona na wewe ni m'laya mmoja unayetaka kuishi kama shetani. Hunibadilishi ama kwa matusi au mihemuko. Nitasema kweli daima hadi sikuukifa utakuta sauti yangu inanena. Naona wewe ni tasa usiyekuwa na malezi pia*****
acha kufatilia ya watu.
Wakati anazitafuta hukuwepo Basi kwenye kutumia usimpangie bajeti.
Aonge na kuwatomb* HAKUHUSU.
WAKATI ANA MAISHA MAGUMU ULIMNUNULIA HATA SODA?
#YNWA
Mambo ya 'mimi kama mimi' na 'yeye kama yeye' heheheeee....