Aizeck12 New Member Joined Aug 23, 2025 Posts 2 Reaction score 2 Aug 23, 2025 #1 Jaman naombeni msaada juzi nimeamka nimekuta masikio yamezipa tu yemyewe hata sielewi shida nini nimetumia dawa ile ya boric acid na labda kufuta na pamba lakini haisaidii kitu. Na nina mafua wiki ya pili saizi hayaishi eti
Jaman naombeni msaada juzi nimeamka nimekuta masikio yamezipa tu yemyewe hata sielewi shida nini nimetumia dawa ile ya boric acid na labda kufuta na pamba lakini haisaidii kitu. Na nina mafua wiki ya pili saizi hayaishi eti
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,315 Reaction score 11,100 Aug 23, 2025 #2 unatumua earphone, matumizi ya simu kuongea ni myda gani, umeoga maji yakaingia, kuna baridi kali ulipo?
unatumua earphone, matumizi ya simu kuongea ni myda gani, umeoga maji yakaingia, kuna baridi kali ulipo?
King Innocent JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 1,069 Reaction score 806 Aug 23, 2025 #3 Earwax imezidi nenda hospital waondoe uchafu na kuyaosha, mi tatizo Hilo pia linanisumbua.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 20,548 Reaction score 44,314 Aug 23, 2025 #4 Nenda hospitali mkuu, macho, masikio, pua, mdomo na sehemu za siri sio maeneo ya kuchekea ukiona kitu huelewi. Na sio vizuri kutumia dawa mfululu bila kujua tatizo, ni kheri usitumie mwili ukapambana wenyewe.
Nenda hospitali mkuu, macho, masikio, pua, mdomo na sehemu za siri sio maeneo ya kuchekea ukiona kitu huelewi. Na sio vizuri kutumia dawa mfululu bila kujua tatizo, ni kheri usitumie mwili ukapambana wenyewe.
Aizeck12 New Member Joined Aug 23, 2025 Posts 2 Reaction score 2 Aug 23, 2025 Thread starter #5 proton pump said: unatumua earphone, matumizi ya simu kuongea ni myda gani, umeoga maji yakaingia, kuna baridi kali ulipo? Click to expand... Situmii earphone hataa na maji wala hata hayajaingia
proton pump said: unatumua earphone, matumizi ya simu kuongea ni myda gani, umeoga maji yakaingia, kuna baridi kali ulipo? Click to expand... Situmii earphone hataa na maji wala hata hayajaingia
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,315 Reaction score 11,100 Aug 23, 2025 #6 kuna dawa ya macho ya 2000 tsh ambayo hutibu sikio ama kitunguu swaumu mafuta yake kama halijaziba kwa uchafu twanga paka maji yake.
kuna dawa ya macho ya 2000 tsh ambayo hutibu sikio ama kitunguu swaumu mafuta yake kama halijaziba kwa uchafu twanga paka maji yake.
Mbahili JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 296 Reaction score 547 Aug 23, 2025 #7 Asante mama kwa sikio kuziba