hahaha ...ila bongo soka letu haliendelei sababu hii utakuta yanga keshakua bingwa halafu anauza mechi kwa azam ukiangalia nje chelsea ni bingwa lkn hata kama unashuka daraja ukikumbana nae usubiri kipigo lazima ushinde kwa jasho lako sio kubebwa lkn huku afrika mambo ni tofauti kabisa mechi zinauzwa nje nje
Simba haina bahati ya viongozi, hivi walitumia vigezo gan simba kumpatia usemaje huyu Haiji Kung'ara?!HAJI MANARA.
"Watanzania wameona kiwango cha Yanga
walichoonesha Tunisia ni kiwango cha hali ya juu
sana,kwa kiwango kile sioni sababu ya kufungwa
na Azam ambayo ni timu mbovu ambayo sisi
tumeifunga. Naiomba viongozi wote wa tff na kamat ya nidhamu wawepo uwanjani kesho (leo)
kuona mchezo mchafu wa Yanga. Tena
nakuhakikishia sisi Simba tutachukua video ya
mechi hiyo na ikitokea Yanga akafungwa..tuta
pelekea Fifa ichukuliwe hatua ya kushushwa
daraja. Tena wachague wenyewe kushinda wawe na amani au wafungwe washushwe daraja.
Nawaonya pia tumepata taarifa Tambwe,msuva,
na ngassa wapo fiti ni lazima wacheze...wasif
anye ujanja ujanja wowote na wala hashangiliwi
mtu".
Simba haina bahati ya viongozi, hivi walitumia vigezo gan simba kumpatia usemaje huyu Haiji Kung'ara?!
Jamaa poyoyo sana akili zake kama anakunjuliwa malinda.
Haki sawa kwa woteSimba haina bahati ya viongozi, hivi walitumia vigezo gan simba kumpatia usemaje huyu Haiji Kung'ara?!
Jamaa poyoyo sana akili zake kama anakunjuliwa malinda.
Tatizo lake huyu jamaa ni mlopokaji sana, anatafuta umaarufu kila kukicha tena mara nyingine hatumii busara katika kutoa taarifa zake.mkuu lugha yako si nzuri ukiendelea hivi jiandae kulipa laki 7 kila siku ile sheria ikisainiwa
Sipo huko mkuu, ila sipendi tabia yake ya kuropoka ropoka hovyo, atumie busara wakat wa kutoa habar zake.Haki sawa kwa wote
Lakini viongozi wa simba wamesema wanajenga timu hivyo hawapo tayari kushiriki michuano ya kimataifa, sasa kuna ubaya gani kwa azam kufunga yanga ili watuwakilishe kwenye michuano ya kimataifa.
Ngoja niongee na Uongozi wa Yanga,Benchi la ufundi La Simba ndio wapange kikosi Cha Yanga.
Mikia mnahangaika sana, kuliko kumbeba Simba bora Azam atufunge tu, wa boti waendelee kupanda Boti tu Na wa ndege waendelee kupanda ndege.
hahaha ...ila bongo soka letu haliendelei sababu hii utakuta yanga keshakua bingwa halafu anauza mechi kwa azam ukiangalia nje chelsea ni bingwa lkn hata kama unashuka daraja ukikumbana nae usubiri kipigo lazima ushinde kwa jasho lako sio kubebwa lkn huku afrika mambo ni tofauti kabisa mechi zinauzwa nje nje
hahaha bongo mona
haiitaji akili sana kumjua mshabiki wa simbaWenzetu hawapotezi mechi hovyo wanaweka historia,sisi tunakomoana
Wenzetu hawapotezi mechi hovyo wanaweka historia,sisi tunakomoana
hahaha ...ila bongo soka letu haliendelei sababu hii utakuta yanga keshakua bingwa halafu anauza mechi kwa azam ukiangalia nje chelsea ni bingwa lkn hata kama unashuka daraja ukikumbana nae usubiri kipigo lazima ushinde kwa jasho lako sio kubebwa lkn huku afrika mambo ni tofauti kabisa mechi zinauzwa nje nje
lakini anajua kwamba matokeo ya leo hayana maana yoyote kwao iwapo Azam atashinda mechi yake ya mwisho?HAJI MANARA.