Wanawake walivyojaa badoo na tinder bado tuu mzeya unatongoza...wee ni kuweka hela kwenye meza unakata warembo wako wawili unawaita kwenye mjengo mnakula raha bila ata kubughudhiana.Linapokuja suala la mapenzi haijalishi mwanamke ana uzuri kiasi gani nikimtongoza akianza kuniringia ringia naaghairisha kuendelea kumfutilia
Nawaza mtu ambae atatoka kwao au kwake kwa pesa yangu aje ale kwa pesa yangu nilipie chumba pesa yangu nimfanye tena aenjoy kwa nguvu zangu tena namla kwa condoms alafu napata wapi ujasiri wa kumbembeleza akianza ingia toka zake
Nishapanga na mmoja pisi kweli kwamba anakuja na nikawa nimetenga kama 100 ya kutumia nae akazingua ckumtafta teena 100 yangu nikaanza kuigawa kwa ndugu zangu shukrani nilizopata mpaka leo zimenipa kibri. Siwezi kumbembeleza mtu aje ale pesa zangu ninazotafta kwa mbide Bora awe mnyenyekevu nyodo za nini wanaume amkeni nyie
Hivyo ni kwa sisi mabaharia ambao tunaweza kupiga makasia bila kutegemea maboya (Pesa) !Hata kama huna pesa, mbona kuna vibwenye vikali tu ni free.
Hahahah wengi tu wanapigwaga hela mbona😅Ajabu kuna watu wanatumia pesa na mzigo anaweza asipige.
Ajabu kuna watu wanatumia pesa na mzigo anaweza asipige.
Yeah cc wapare tunaenda na burgetSafi sana!!
Vipo wapi hivyo vibwenye [emoji3061]Hata kama huna pesa, mbona kuna vibwenye vikali tu ni free.
TrueNgono imerahisishwa sana na hela na mitandao ya kijamii!
Ni aibu kwa mwanaume kuteseka na mapenzi ikiwa una pesa zako[emoji28]
Unahonga 100 harafu unategemea demu aje.Linapokuja suala la mapenzi haijalishi mwanamke ana uzuri kiasi gani nikimtongoza akianza kuniringia ringia naaghairisha kuendelea kumfutilia