Ndugu yangu baba latifa nyingi ya hizo ajali tunajitakia wenyewe kwa sababu nyingi ambazo hadi najisikia uvivu kuzieleza; lakini nyingi zaidi ni za kimfumo ambazo hazitaondoka hadi tutakapopata ujasiri wa kutosha tuseme "sasa basi; viwe viwavyo huu mfumo lazima tuuegeshe!"