tupeni tough ili tuwatoe wapiga kura watoke kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi,tumepanga kutumia waelemisha wapiga kwenye vituo vya mabasi,masokoni,ndani ya mabasi na kwenye mikusanyiko shida kubwa ni pesa za kula na usafiri.kwa maelezo zaidi 0717288306,email <ondoche@gmail.com> mimi sospeter okiri ogiro.
mimi sijaukana utanzania ndugu,, ninafamilia yangu pale dsm, huku niko pekeyangu,, ni ratiba tu imekataa kabisa
Pamoja na fumbo lako tutapiga kura badala yako
inaelekea wewe umeshaukana uraia wa Tanzania bakia hukohuko
usituletee balaaa nchini kwetu!
Pamoja na fumbo lako tutapiga kura badala yako
inaelekea wewe umeshaukana uraia wa Tanzania bakia hukohuko
usituletee balaaa nchini kwetu!
Yaani wewe jamaa koment zako zote ni negative Inaonekana muoga sana wa mabadiliko. Nadhani hofu yako ni kusweka lupango mafisadi mara naada ya octoba 2015
Mkuu acha hasira.. fumbo ni kwamba msiwachague wenye mawaa ... na msisingizie watu mawaa wasio nayo ni dhambi kumsemea mtu uongo.... mwende kwenye ballot mkiwa na nia safi... upinzani mpo!!