Nikaribishe PM basi na mimi nione kama nitakudanganya?Njia ya muongo ni fupi mkuu
Nikaribishe PM basi na mimi nione kama nitakudanganya?
Kwamba u mzuri saana nitachanganyikiwa?Usije jikuta unasema hata usiyotarajia mkuu
Kwamba u mzuri saana nitachanganyikiwa?
Tehtehteh...haya bhana.Achana na mambo ya kufikirika hayo ni vile utakua confortable kuongea mpaka unasahau kudanganya
Aisee, sijawahi hata kufikiria kuwa na I'd nyingine. Ya nini?Wewe Amini yumo.
Siamini kama ww una Id moja humu Jf.
Mimi mniondoe kwenye chechecheche Kama hizi, nakwangaruka kwa kukimbia foglofoglo ...