Huyo mwalimu wako ana elimu gani? Kwa tunaoishi uswahilini na kubahatika kuwa na pesa ya kubadilisha mboga tunajua kuwa mtu unaweza kutengwa kisa unakula mayai na nyama mara nyingi zaidi kuliko majirani zao.
Elimu sio madarasa mengii ni uwezo kutumia maarifa ktk mazingira sahihi. Leo Kagame Asubuhi kaendesha kikao cha EAC na jioni hii kashiriki kikao kengine kilicho itishwa na Au cha uongozi wa Kikanda ambacho alistahili kuhudhuria Magufuli.Huyo mwalimu wako ana elimu gani? Kwa tunaoishi uswahilini na kubahatika kuwa na pesa ya kubadilisha mboga tunajua kuwa mtu unaweza kutengwa kisa unakula mayai na nyama mara nyingi zaidi kuliko majirani zao.
Huyo Mhadhiri wako atakuwa ni Profesa Msigwa Antipas Mbowe.
Elimu sio madarasa mengii ni uwezo kutumia maarifa ktk mazingira sahihi. Leo Kagame Asubuhi kaendesha kikao cha EAC na jioni hii kashiriki kikao kengine kilicho itishwa na Au cha uongozi wa Kikanda ambacho alistahili kuhudhuria Magufuli.
Sasa nikajiuliza huyu Major Paul Kagame amesha mpindua Mwenyekiti wa SADC ? Mwenye Akili atajua nini maana yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio upumbavu ndugu ila tunatofautiana uelewa wa haya mambo, wahadhiri wasio na PhD ni wengi wa kutosha. Lakini kama huyo wakwako ana PhD na bado hawezi kutengeneza falsafa bali falacies of generalisations basi komaa na vitabu madesa yake yatakupoteza.Kwani kuna Mwalimu ( Mhadhiri ) wa Chuo Kikuu asiye na Doctorate ( PhD ) Ndugu? Umeuliza Swali lako Kiupumbavu sana tu.
Ulitaka niwataje wachato halafu nipelekwe ununio au ubelgijiKuna Mchagga yoyote unayemjua Wewe anaitwa Afrikamashariki Utengamano Ndugu? Halafu mbona umewataja Wachagga tu?
Juzi nimemsikia mhadhiri akimtukana Mwandishi alie muuliza swali jibu likawa wewe mpumbavu sana hapo nikakumbuka kiongozi aliyetamka hadharani kuwa anamtukanaga sana mpumbavu huyo ni huyo huyo" Siku zote ukiona unaanza tu Kutengwa na Marafiki au Majirani zako jua ya kwamba Mosi wameshakuona ni Mpumbavu, Pili wameshakudharau na Tatu huenda wakawa wameshagundua labda utakuwa na matatizo ya Akili hivyo suluhu yao Kwako ni Kukutenga tu hadi ukijishtukia " alisema Mhadhiri wangu maarufu Chuoni aitwae Bwana. Afrikamashariki Utengamano.