Moyo usizidi nafsi kwani utaipoteza, sisi tunaandika wewe ndio mwenye maamuzi...good luckyhuwa simpigii yeye ndo anapiga,appointment nae nyingi nimeweza zikataa but Moyo unaniangusha mie mwenzenu
sababu kuu huwa ni kwamba anakuridhisha mno kimapenzi...hata ukienda kwa mwanamume mwingine hakuna anayekufikisha kama huyo jamaa.....imeshawahi kunitokea hiyo kwamba namfanyia vituko vya kufa mtu demu hakuniacha ,hata aliponiacha baadaye akarudi mwenyewe....nilipomuuliza akaniambia dah yaani nikifikiria unavyonikuna ,wala sijapata kama wewe!!!hii kitu achana nayo kabisa!!!
Mmmmmhhhhhhh! Dr. Love nimewasili sasa!
Huyo si kwamba unampenda sana wala nini ila ni upweke ule baada ya kumpiga kibuti ndo unakurudisha nyuma! Huyu njia pekee ya kumuacha ni SUBSTITUION method baaaaaaaasss! Yaani tafuta replacement yake kabla hujampa makavu live!!!! Bila hivo kile kipindi cha Transition period hutokiweza aiseee, utamsamehe!
Ila ukiwa na chuma kipya mambo zimenoga huna mudaaaa wa kumuwaza zilipendwa huyo! (Ila tu ukumbuke kumtendea jirani yako unachopenda akutendeeee!)
Njoo kwangu kwa siku moja tu utamsahau huyo jamaa wako 4ever ni beep kwenye namba hii 07123456789
Shikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo.
Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi ya kumuacha zaidi ya mara tatu kutokana na tabia zake na zangu kutoendana,unakuta yeye Ana mtizamo tofauti kabisa wa maisha na style zake.kila nikimueleza anaona kama namuingilia. So mie nkaona isiwe nongwa bado ndo kwanza mchana naweza nunua kwingine! Nimemtamkia kabisaaaaa kwamba tusipotezeane muda kila mtu awahi kivyake but yeye huwa hajibu chochote zaidi ya kusema Yuko in love na mimi!naamua nakuwa kimya ILA akipiga tu simu na kuongea mawili matatu basi mie hoiii najikuta hisia zinanijia narudiana nae, sometimes anasema eti mie sina nguvu ya kumuacha....!ukweli sina future nae ILA nashindwa namna ya kuzuia hisia.
Sasa wadau wangu naomba mnishauri nifanyeje nimuache mamoja??for six months nimejaribu nimeshindwa kitu ambacho sio kawaida yangu, kwenye ishu ya kuacha mtu mie ilikuwa ni kama unavyokunywa maji ILA kwa huyu mhhhhh.
kumbe umezowea kuwabwaga makaka...sasa umepata kiboko yako hahahha