Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Ulifanyaje mpaka ukawa huru. Tuambie nasi tujue.[/QU we acha tu ndugu yangu
hongera[/QU asanti
Mara hii imekuwa siri? nimekwisha toa maelezo ndugu sio siri ila ni imani tu
Apolinary unashangaza sana! ulipokuja kuomba ushauri watu mbalimbali walikushauri ufanyeje; wapo waliokwambiaa kaombewe/ uombe sana, wapo waliokushauri kuwa nenda kwa waganga wa kienyeji, na wengine walishauri umuone daktari wa magonjwa ya akili.
Wadau wangependa kujua ulichukua ushauri gani, wewe unapiga chenga. Unatushangaza!
alianzisha thread ili awe nae kaanzisha, kama kweli alikua na tatizo basi angetuambia ametumia mbinu gani ndivyo tulivyo mkuu... vitabia vya kuficha basic info[/QU sio kiivyo mkuu kama unavyodhan.
cha msing ni sala na maombi bila kuchoka ila sikubadili din kwan din si kitu iman yako ndo itakayokuponya