Habar zenu wandug
Hii no post yangu ua kwanza kabisa katika web hii. Mwanzo nlikua natumia pd davo wakatuonea wivu. Now npo guru but tatizo ipo slow sana si kama pd. Sasa nlikua nauliza may b ipo slow kutokana na eneo nlilopo? Now npo mwanza mjini. Au window nnatotumia coz wakat natumia pd nlikua natumia win7 now natumia 8. Inaniuma sana kuona watu wanaweka screen shot za hadi 1mb per sec wakati mi haijawahi ntokea. Msaada plz

Sorry nmekosea ni guru, hiv kila anayeuliza no spy?? Kuuliza ni vibaya? Nlionaaaa hapa ni mahari bora pa kuuliza kumbe nmekosea. Jamii nmejiunga nna kama wiki. Mi ni blogger na jamii nlikua naingia kucopy baadhi ya story za siasa na v2 vingine na kuweka kwa blog yangu hapo nikiwa natumia pd. Sasa majanga yamekuja baada ya kuhamia guru blog imedoda kiukweli hadi nakosa raha. Ni kama nyie mlivyoadicted na jamio mi npo adicted na blog yangu ikidoda nakosa raha. Samahani kama nimekosea kuuliza na nafikiria kuifuta hata hi akaunti coz nlichotegemea sicho nlichokipata
Kwa pd nlikua nanunua kwa kutumia card yangu ya benki nlikua siwajui maresel kajicho
Hapa sizani kama ntapata msaada cha muhimu nisaidien jinsi ya kudelete posr hii
Kwa pd nlikua nanunua kwa kutumia card yangu ya benki nlikua siwajui maresel kajicho
yaani kama ulikuwa unalipa kwa kadi ya benki maana ake si unafahamiana na hao watu watafute ili wakupe msaada sio kujaza post humu
enjoy++
Huyu ni Tembo tu mi bado napata utata inakuwaje mtu ajiunge humu jf juzi juzi tu then aanze kuulizia madude ambayo tayari yamefyatuka?
Nadhani huyu ni miongoni mwa wale mamruki tulio na mashaka nao so kaona bora afungue ID inginE ili aendelee kutunusa.