.kutoa jina ni kazi ya baba na mama, kwanza mnapokubaliana lazima ujue maana ya jina, pia ujue jina ni la nani kwenye ukooo na ana tabia zipi....
Swali: ina maana hujui jina la ex wa mwenza wako mpaka anampa mtoto jina la ex???
.Eeh sasa majina ya mtoto na kuolewa au kuoana yana connection gani? Si unakuwa umelipenda tu hilo jina?
.kuna kaukweli......
These days watu wana "google" baby names and meaning then wanawapa watoto...!
Au wanaangalia in Quran and Bible! Majina yanaweza kufanana na huyo "x" by coincidence.