Sifa za wanawake/wadada wanene

Uzi huu bila picha hauna maana yoyote! Bora ufutwe tu...

Mana unene wa kuambiana kwa maneno hua haueleweki!

Hivo uzi wote unakua haueleweki
 
aisee
 
wataalam wa vibonge
 
Hmmmm! huyu bila shaka ni jimama lol!

 
kwa sifa ulizotoa kwa mwanamke mnene ni kweli uko sahihi kwa 90% nadhani sasa ili kubalance uje pia na matatizo ya mwanamke mnene wakati wa kugrgedana, maana kila kizuri kina kasoro zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…