Ndugu wanajamii, napenda kuwabandikia sifa za wagombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Waandishi wa Habari Mkoani Morogoro kama ifuatavyo:
NAFASI YA UENYEKITI
1. AZIZI MSUYA
SIFA ZAKE:
Ni mwajiliwa wa Bussiness Times Limited
Anaweza Kuhama muda wowote kwenda mkoa mwingine iwapo atahamishwa na mwajiriwa wake
Ushiriki wake kwenye mambo ya habari ni mdogo,ni mpokeaji tu wa taarifa
Si mtu wa kujichanganya na wadau tofauti tofauti
Hajawahi kushika nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama cha waandishi wa Habari Morogoro
Hakubaliki miongoni mwa waandishi walio wengi
2. IDDA MUSHI
SIFA ZAKE
Ni mwakilishi wa IPP Media (Mwandishi wa ITV na Radio One)
Ni Makamu Mwenyekiti anayemaliza muda wake
Ni mshiriki mzuri katika mambo ya habari
Ni mtu wa kujichanganya na wadau mbalimbali
Ni mtendaji mzuri,ana sifa nzuri ya kuongoza,amekuwa akikaimu nafasi ya uenyekiti tangu mwezi November 2010 mpaka sasa baada ya mwenyekiti wake kuugua kwa muda mrefu
Ni mwanachama wa muda mrefu wa chama cha waandishi wa Habari Morogoro
Ni mfuatiliaji mzuri wa kanuni,taratibu,sheria na maadili ya tasnia ya uandishi wa habari
Amewahi kukumbana na Changamoto kadhaa katika kazi yake ikiwemo kushtakiwa na mafisadi na kuwashinda mahakamani
Anakubalika na wadau wengi hasa waandishi wa habari na utangazaji
MAKAMU MWENYEKITI
1. DEVOTA MINJA
SIFA ZAKE
Ni mwanachama wa muda mrefu wa chama cha Waandishi wa habari
Ni mzoefu wa mambo ya habari
Anafuata na kuzingatia kanuni,taratibu na sheria za taaluma yake ya uandishi wa habari
Ni mtu wa kujichanganya na wadau mbalimbali
Anakubalika miongoni mwa waandishi wa habari
2. RAMADHANI LIBENANGA
SIFA ZAKE
Ni mwajiliwa wa Majira
Ni mlopokaji, Si mtunzaji wa siri
Hana msimamo katika maamuzi
Si mtendaji wa kazi
Anajali zaidi pesa kuliko kazi
Ni mwanachama wa muda mrefu wa chama cha waandishi wa habari
Ni mzoefu wa mambo ya habari
Ni swahiba wa karibu wa Aziz Abood (Mbunge wa ccm-moro mjini) na matajiri wengine wa Morogoro
Ni mtu wa propagamda na vurugaji wa mambo
NAFASI YA UKATIBU 1.ABEDI DOGOLI
SIFA ZAKE
Ni mwajiliwa wa siku nyingi wa Abood Media Group
Anatumiwa na Aziz Abood kwa ajili ya kulinda maslahi ya Aziz Abood
Anafanya kampeni za Rushwa
Ni mtu wa kudhoofisha kanuni,taratibu na maadili ya taaluma ya uandishi wa habari
Amewahi kuwa meneja wa kampeni wa Aziz Abood japo kwa siri
Si mtu wa kujichanganya na wadau mbalimbali
Alisimamia zoezi la kununua magazeti yote yaliyoandika kuhusu kifo cha mwandishi wa habari marehemu KUANDIKA aliyefariki baada ya kupata ajali akiwa ndani ya basi la Abbod
Hakubaliki miongoni mwa waandishi wa habari
Ana tuhuma za kupewa shilingi milioni mbili kutoka kwa Aziz Abood ili ahakikishe anashinda nafasi ya Ukatibu
2. JOSEPH MALEMBEKA
SIFA ZAKE
Ni mwakilishi wa Vyombo mbalimbali vya habari
Ni mshiriki mzuri katika mambo ya habari
Ni mtu wa kujichanganya na wadau mbalimbali
Ni mtendaji mzuri,
Ni mwanachama wa muda mrefu wa chama cha waandishi wa Habari Morogoro
Ni mfuatiliaji mzuri wa kanuni,taratibu,sheria na maadili ya tasnia ya uandishi wa habari
Amewahi kukumbana na Changamoto kadhaa katika kazi yake
Anakubalika na wadau wengi hasa waandishi wa habari na utangazaji