Sifa za Nokia X

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,671
Hizi simu zinapromotiwa sana sahivi,nasikia nazo zinatumia Android OS,kwa aliyetumia or anayeijua zaidi vipi umeionaje?(Ubora,Uwezo wa battery,Internet Speed,etc)
 
Wakuu, vp Nokia xl bei yake inakuwaje, ishafika bongoland?
 
Wakuu, vp Nokia xl bei yake inakuwaje, ishafika bongoland?

Niliona jana humu jukwaani kuna watu wameiona Mlimani City, sijui duka gani, bei yake 345,000Tsh.

Ule uzi unaitwa: Smartphone updates nadhani.
 
Hizi simu zinapromotiwa sana sahivi,nasikia nazo zinatumia Android OS,kwa aliyetumia or anayeijua zaidi vipi umeionaje?(Ubora,Uwezo wa battery,Internet Speed,etc)

Mkuu hiyo ID yako vipi?

Ok. Kwa kifupi Nokia X inatumia Android 4.1.2 Jelly Bean (Haina updates to KitKat), Ina IPS LCD screen ya 4" na RAM ya 512MB na 4GB internal memory with Dualcore Cortex A5 processor ya 1Ghz, Camera 3.15MP na packed with Li Ion battery with 1500mAh.

Tatizo kubwa haina Playstore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…