sifa za mwanaume mwenye mapenzi ya dhat.


Asilimia kubwa ya wanawake hapa wamethibisha kuwa chake ni chake na cha mwanaume ni cha familia yaani kipato, kwa hiyo mwanaume atahangaika kulipia karo, bill za maji na umeme, kuhakikisha watoto hawafi njaa, mavazi kwa mama na mtoto wakati huo kipato cha mwanamke hakiguswi kamwe.
 
Utampeleka kuzimu au inabidi umpongeze tu,akihonga je?utakata kiungo kimoja baada ya kingine afe taratibu hahaaa!

:becky: unajua mi naamini njia rahisi ya kumtoa katika macho yangu adui ni kumloga tu ambapo jamii haiwezi kunielewa vibaya, bora ahonge kuliko kujenga kwao i see
 
:becky: unajua mi naamini njia rahisi ya kumtoa katika macho yangu adui ni kumloga tu ambapo jamii haiwezi kunielewa vibaya, bora ahonge kuliko kujenga kwao i see

makubwa!bora ahonge tena?
 
Sifa zote ninazo ila sasa sioni wa kuwa karibu nae wote ni head ache tu

Afadhali umekuwa mkweli. Mahusiano ya sasa ni material zaidi. Wachache wanajua kupenda na thamani ya kupendwa...
 
Sasa mnafanya kazi ya nini wakati mnawageuza wanaume kama kwa kuwanyonya, unakuta mwanaume amekondeana balaa alafu mwanamke amafumuka balaa

Kama ana roho mbaya atanenepaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…