Msema kweli mpenzi wa Mungu.....Mwanaume kama hujawahi kuchunwa usijisifu una demu mkali.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka hapo uliposema na wewe umo
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno la udhaifu kwa binadamu hutafutiwa mbadala wa kulitamka ili kulihalalisha.Hahaha wengine tunatoa kwa moyo, sidhani kama kujiongeza inamaana unachunwa!
Sawa mkuu ni kama kile kichapo kilivyoitwa "Reasonable Force" basi wacha na sisi tuite hio ni "Reasonable Grants" ama unasemaje!Neno la udhaifu kwa binadamu hutafutiwa mbadala wa kulitamka ili kulihalalisha.
Mfano kuchunwa, kuhonga ama kujiongeza maana yake ni moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipo mbali na mada.Sawa mkuu ni kama kile kichapo kilivyoitwa "Reasonable Force" basi wacha na sisi tuite hio ni "Reasonable Grants" ama unasemaje!
NB: Huwa huli changu kabla la kuliwa, hio ndio rule no.1
Ish! Mkuu baba, utasemaje umelizwa wakati ni wewe mwenyewe umetoa tuzo ama tunzo?nimelizwa liteni dakika kadhaa zilizopita bablai
Limsimbazi wamechkua????nimelizwa liteni dakika kadhaa zilizopita bablai
Hahahahahahah! Watu vyuma vimezidi kuwakazia.
Wanaume wa Dar bwanaHahahahahahah! Watu vyuma vimezidi kuwakazia.