Hivi hawa maafisa uajiri wa makampuni hata hizi taasisi wana ufahamu nini wanakifanya kweli???
We ndio afisa uajiri unafahamu fika organization yako inataka kuajiri wafanyakazi watano wapya sawa kabisa na unaenda kurusha katika vyombo husika wanakutangazia vizuri na response unaipata kwa uzuri kabisa kutokana na vijana wengi tuliokosa kazi...
Sasa janga linapokuja ni pale unapokwenda kusort out application za hao candidate kwa iyo post na unaenda kuwaita kuja kufanya interview candidate wasiopungua 200...najiuliza ni kua vigezo katika hizo barua zao hakuna au ni ufahari wa kutusumbua tuu na waende wakaitangaze organization yako!!!
Hapa nakosa kabisa jibu la haraka mwenzenu.
NAPENDA KUULIZA WENZANGU ILI MNALIONAJE LABDA MNA MAJIBU!!!:A S-confused1: