SIDO wameshindwa hata kutengeneza mobile toilets?

Inakitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China? SIDO mmeshindwa kuunganisha mabatin hayo yawe mobile toilets?bado mtadai nyongeza ya Mshahara?
Wanajinasibu wanatengeneza ndege watu 500...wazimu mtupu...mwisho machine kukamua mafuta nafaka hakuna jipyaà
 
Kwa bongo hii mtu anapakia msosi wa kilo moja peke yake.
Unataka hiyo mobile toilet ishindwe kutambua mnara.

Alafu wengi tumetokea vyoo shimo mizigo inayotoka inaweza kusababisha android au ios inayotumia ikachanganya mafaili.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…