mimi cna ubia wowote na vada na ni mteja tu nazani c vema kuuchafua mtandao mkubwa kama Voda cjui kuhusu promo ya 600 yenye sekunde 900 lakini kwa ile ya 200 nikweli baada ya dakika 5 unaweza ukatumiwa masege ila baada ya masege ya masege ambayo nadhani huwa inakuja kimakosa mtu unaendelea kulonga tu hadi saa linaisha.