Si ni kweliee???

Moja ya vilivyonifanya nisepe mazima Fcbk linafanana na hili, mwanaume utoapo mada ya kuchangia labda ichangiwe na dada zako! Vinginevyo utajikuta unajichangia mwenyewe !
Lakini post za warembo hata iwe mada ni masaburi itachangiwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…