Mulugo ebu njoo huku wanakusimangaUzembe na kutokuwajibika kwa serikali ya awamu ya nne kwenye elimu sasa ni dhahiri
Ubabaishaji na uzembe katika uendeshaji wa shule za kata umejionyesha kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yalitotangazwa leo
Ni madudu matupu
Kukuru kakara za JK za ujenzi wa maabara zimeishia kwa aibu kubwa kwenye matokeo ya masomo ya sayansi kwa shule takriban zote za kata
Shule ya Mchikichini kwa mfano,matokeo ni
div 1=0,div2=0,div3=3,div4=37 waliobaki kati ya wanafunzi 200 wamefeli.
Ndipo walipowafikishwa watoto wetu na JK na waziri wake wa elimu
WITO kwa Magufuli usiishie kutoa elimu bure tuu bali iwe elimu bora
Anakwambia elimu bureeeeDah!! Mkuu wa kaya wa sasa inabidi aweke mkazo ktk elimu aiseee!!
Umesaau mlisema ni project ya mkapa jmn tutunze kumbukumbu kuna gazeti liliandika story nzima ila kikubwa sio mtu kufeli kwa mpng ata kama za lowasa aliowaachia muendesha mmefeli sasa tatizo la nani kwaiyo mzungu akikupa zawad alafu aondoke ukivunja utasema na mkosa aliyekuachia au wewe tatizo viongozi wakifanya vibaya bongo sababu ni wa ccm wasisemwe tuache kulia bac kama ivo kwel bongo tatizo sio viongoz tatizo ni kwa tunaoongozwa ndo tuna shidah snaHizi za kata si mlisema za LOWASA...? leo zimerud tena kwa JK...?
YOU ARE A GREAT THINKER OF QUR TIMES! usikute mtu anakimbilia kuhoji ufanisi wa serikali wakati yeye mwenyewe hata kumsaidia mtoto wake au ndugu yake afaulu ameshindwa. watoto wakishindwa hivyo ni wajibu wa kula mtanzania kujiuliza je alitimiza wajibu wake? kuna watoto wanafeli kwasababu wanakosa lishe bora, wengine kwasababu shule zao hazina walimu.sasa ni lazima tujiulize tufanye nini ili watoto wetu wasifeli tena.Sisi kama jamii tulifanya nini kusaidia watoto wetu wafaulu?
Uzembe na kutokuwajibika kwa serikali ya awamu ya nne kwenye elimu sasa ni dhahiri
Ubabaishaji na uzembe katika uendeshaji wa shule za kata umejionyesha kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yalitotangazwa leo
Ni madudu matupu
Kukuru kakara za JK za ujenzi wa maabara zimeishia kwa aibu kubwa kwenye matokeo ya masomo ya sayansi kwa shule takriban zote za kata
Shule ya Mchikichini kwa mfano,matokeo ni
div 1=0,div2=0,div3=3,div4=37 waliobaki kati ya wanafunzi 200 wamefeli.
Ndipo walipowafikishwa watoto wetu na JK na waziri wake wa elimu
WITO kwa Magufuli usiishie kutoa elimu bure tuu bali iwe elimu bora
HAPO NA VIJANA NDIO WAMEPIGA NA MWENDO WA TUITION....,?Uzembe na kutokuwajibika kwa serikali ya awamu ya nne kwenye elimu sasa ni dhahiri