kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,924
Uzembe na kutokuwajibika kwa serikali ya awamu ya nne kwenye elimu sasa ni dhahiri
Ubabaishaji na uzembe katika uendeshaji wa shule za kata umejionyesha kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yalitotangazwa leo
Ni madudu matupu
Kukuru kakara za JK za ujenzi wa maabara zimeishia kwa aibu kubwa kwenye matokeo ya masomo ya sayansi kwa shule takriban zote za kata
Shule ya Mchikichini kwa mfano,matokeo ni
div 1=0,div2=0,div3=3,div4=37 waliobaki kati ya wanafunzi 200 wamefeli.
Ndipo walipowafikishwa watoto wetu na JK na waziri wake wa elimu
WITO kwa Magufuli usiishie kutoa elimu bure tuu bali iwe elimu bora