Baaada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa rasmi leo hii. Yakionesha ufaulu mkubwa katika shule za serikali kuliko shule binafsi.
Katika kumi bora ya shule zilizongoza kwa ufaulu binafsi wamepata shule mbili tu. Matarajio ya wadau na wazazi ni kuona ufaulu katika shule binafsi ukipamba moto Lakini kwa siku za hivi karibuni imekuwa tofauti
Je ni muda sasa kwa wadau kuweka imani na matarajio yao kwa shule za Serikali?
Hao walioongoza kumi bora kutoka shule za serikali, 95% o level wamesoma shule binafsi,..... Na hao kombi hazijabalanse, wamekosa serikali 60% ndio wamesoma shule binafsi advance.... Unategemea nini hapo?
Semeni yoote lkn hao wanafunzi naomba waelewe tu kusoma sana sio kufanikiwa!.. naomba tu waelewe tofauti ya kuwa na elimu na kufanikiwa na wajue hivyo vitu viwili vinawiana vipi ili wajue wanacheza vipi mwisho wasiku watakuja kuambiwa wajiajiri!!..