Same,si getI am Kenyan but hardly got it..hio ni kali....msitembee na kamkia...mkule jasho yenu muingize maweng'...😀😀😀
Watoi- Watoto, Ushago- Kijijini. Hapo tayari ushatumia maneno mawili ya sheng alafu unajaribu kutuhadaa kwamba wewe ni mwere(mtu aliyelelewa kijijini). Ujue Sir Godi anakucheki tu. 🙂Lugha mbaya sana hii! Sie ambao hatujawahi kanyaga Nairobi tutaielewaje?
Watoi wa ushago ni werevu ,wanajua lugha fasaha(Eng & Kisw) kuliko vitoto vya Nairobi.
Lol... Chali ya kajiado amejam😁.Ni ukwelo mi nimegrowia ocha.Watoi- Watoto, Ushago- Kijijini. Hapo tayari ushatumia maneno mawili ya sheng alafu unajaribu kutuhadaa kwamba wewe ni mwere(mtu aliyelelewa kijijini). Ujue Sir Godi anakucheki tu. 🙂
Wangeshi c we' hubonga sheng' ? How kams huget hii?Same,si get
Wah! [emoji15] Kuchekesha mic nayo!
the 'steppa'(wanajiitanga hivyo) is either suicidal or just plain stupid. luckily for him, he was apprehended.Wah! [emoji15] Kuchekesha mic nayo!
Steppa werii, ana bahati hakugeuzwa kichungi. Kweli ufala ni liability.the 'steppa'(wanajiitanga hivyo) is either suicidal or just plain stupid. luckily for him, he was apprehended.
View attachment 1023835
View attachment 1023836
View attachment 1023837
Yep wanafukuzana na easy life bila struggle huwa wanajiita masmatta pia na huwa hawakosi silver/gold tooth moja ama mbili mdomoni. Trade mark ya lile kundi lao haramu la Gaza. I lived for a long time in Buru Buru nawafahamu sana.ukipatana na kijana ambaye amevaa wire nyingi hivyo kwa shingo(silver especially) jua kwamba maisha yako yamo hatarini. thats the trademark.
Sheng ni diffrent sana,hio ni ya ghetto n mi huwa sibongi hio sheng as in iko very deep sana,nairobi sheng huwa haifanani,inategemea penye umetokaWangeshi c we' hubonga sheng' ? How kams huget hii?
Mi nao huwa hatupatani[emoji87]Yep wanafukuzana na easy life bila struggle huwa wanajiita masmatta pia na huwa hawakosi silver/gold tooth moja ama mbili mdomoni. Trade mark ya lile kundi lao haramu la Gaza. I lived for a long time in Buru Buru nawafahamu sana.
Hapo pa silver/gold tooth kidogo sitakubaliana nawe ,ninalo na sina urafiki na hao watu.Yep wanafukuzana na easy life bila struggle huwa wanajiita masmatta pia na huwa hawakosi silver/gold tooth moja ama mbili mdomoni. Trade mark ya lile kundi lao haramu la Gaza. I lived for a long time in Buru Buru nawafahamu sana.
Hicho kilugha kinaniboa kinyama hua sipendi hata kumsikia mtu akikizungumza.Sheng ni diffrent sana,hio ni ya ghetto n mi huwa sibongi hio sheng as in iko very deep sana,nairobi sheng huwa haifanani,inategemea penye umetoka
Hahaa! 😀 Shauri yako jombaa, ongeza na waya kama kumi za silver shingoni uone kama Hessy hatakulisha mbegu. [emoji23]Hapo pa silver/gold tooth kidogo sitakubaliana nawe ,ninalo na sina urafiki na hao watu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app