chief mtwe
Member
- Dec 10, 2013
- 95
- 11
Poa poa mkuu
Poa poa mkuu
Tupo mabibo mwisho kwa maelezo zaidi jinsi ya kufika tupigie kwa namba ya simu tuliyoweka kwenye postMko maeneo gani
Kwa musiki wa kibongo wa sasa, ili ufanikiwe lazima uwe mvivu wa kutumia vyombo na utegemee computer pekee.
Ikumbukwe musiki is regarded as an organized noise bhaaasi!!
Ila nitapenda kujifunza kozi zenu kadhaa kwa ajili ya manufaa yangu binafsi. Nipeni location yenu sasa.
Nikitoka hapo.... najiunga Bongo star search au Tusker project Fame... jamani wale JFGold members... naombeni mchango
Acha utapeli wewe muziki gani unaofundshwa kwa wiki mojaa!!???
This is fundamental course kwa beginners , pia kuna course for advanced learners.....
For the case of fundamental course tunakupa principles za upigaji ambazo kwa hizo kanuni ukizizingatia na kuwa na mazoezi ya mara kwa mara we do believe utaweza
karibu kituoni kwetu ujionee ....Kuona ni bure kujifunza ndo hela