Shule ya mahitaji maalum

mamso

Senior Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
174
Reaction score
195
Habari zenu
Nahitaji kufahamu shule za watoto wenye mahitaji maalum hasa upande wa akili yaani una utahira flani ila sio sana naomba kujua hizo shule kwa hapa dar iwe private au ya serikali.
Asanteni.
 
Uhuru mchanganyiko Hebu jaribu Hapo mkuu

KIMEO CHANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…