Shule ya Biharamulo

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
367
Reaction score
116
Jaman anaeijua shule ya Biharamulo naomb anijuze kuhusu shule iyo. Mazingira yake yapo vipi? ipo mjini ama?
 
iyoo shulee n shudaaaaa
Mh ina mazingira magumu sana ama?? Mana mm ndo nmepangiwa hko na ndo natak nianze nifanye process za kwenda.
 
Post ??.. form 5 zmeshatoka kitambo.
 
Hiyo shule alifaulia mdogo wangu mwaka jana...nikamhamisha
 
ckusomaa hapoo.. ila kuna mshkaj angu mmoja alisomagaaa
 
ckusomaa hapoo.. ila kuna mshkaj angu mmoja alisomagaaa
Vp alivokuwa anakwambia kuhusu swala la displine walimu wao ni wakali sana ama??
 
kwa saiv hamnaga hayo mamboo... n free sanaa
 
ilishakula kwako babu shule ya kata mazingira magumu kinyama no access ya material
 
Jaman anaeijua shule ya Biharamulo naomb anijuze kuhusu shule iyo. Mazingira yake yapo vipi? ipo mjini ama?
Tafadhali nenda, usikubali kudanganywa, kama wenzako wameweza kusoma na kufaulu basi nawe utaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…