Kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mleta Mada, kwa Kweli kitendo anachofanya mwenye nyumba cha kuwapandishia Wapangaji Kodi kila Mkataba unapoisha sio Kizuri. Halafu hafanyi marekebisho yoyote, Choo Kibovu, rangi vyumbani imechoka na kuna baadhi ya vyumba vinavuja. Yeye akipata pesa ni pombe tu.