chumvichumvi JF-Expert Member Joined May 6, 2010 Posts 1,207 Reaction score 312 Dec 19, 2014 #1 wana jamvini habarini za saa hizi jaman na mdogo wangu kamaliza la saba cjui kapangiwa shule gani yeyote mwenyewe link ya matokeo/ selection hizo tafadhali naomba nitumie au nielekeze nijue mapema kipi nifanye Asanteni
wana jamvini habarini za saa hizi jaman na mdogo wangu kamaliza la saba cjui kapangiwa shule gani yeyote mwenyewe link ya matokeo/ selection hizo tafadhali naomba nitumie au nielekeze nijue mapema kipi nifanye Asanteni
Wa kusoma JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,454 Reaction score 2,984 Dec 19, 2014 #2 Wanapanga leo nchi nzima