Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,725 Reaction score 3,795 Apr 27, 2016 #21 kikaniki said: Hawa INTEL SCHOOL wapo kona gani jamani? Simu yao haipatikani. Kama nipo Mianzini, ninafikaje Intel shuleni? Click to expand... Jaribu na hii, 0754373958. Fuata PIa Link hii:- BILIONEA WA JIJI LA ARUSHA ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 100 KATIKA SHULE YA INTEL SCHOOLS JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog
kikaniki said: Hawa INTEL SCHOOL wapo kona gani jamani? Simu yao haipatikani. Kama nipo Mianzini, ninafikaje Intel shuleni? Click to expand... Jaribu na hii, 0754373958. Fuata PIa Link hii:- BILIONEA WA JIJI LA ARUSHA ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 100 KATIKA SHULE YA INTEL SCHOOLS JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog
C cejo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 496 Reaction score 406 Apr 27, 2016 #22 wengine wana recommend, wengine wana advertise. ili uwe makini zaidi, ungetumia recommendation za wazazi wenye wanao shule hizo. uku open forum pata majina tu.
wengine wana recommend, wengine wana advertise. ili uwe makini zaidi, ungetumia recommendation za wazazi wenye wanao shule hizo. uku open forum pata majina tu.