ipo shule sombetini ni nzuri sana mfumo wa ufundishaji wake ni wa juu sana inaitwa BRIGTHSOUL Ipo chini ya kanisa la kkt juu kidogo ya shule ya imani fika shuleni uwaone walimu itafunguliwa 02/05/16
Hapana mkuu st Jude wanasomesha watoto bure wenye upeo wa juu na kati mmoja katika familia zisizijiweza sio watoto wenye uwezo wa kusomeshwa labda utumie janja
ada yake kwa primary ni 130000/= na baby&pre unity ni 100000 kwa muhula usafiri kwa mwezi maelewano kwa umbali wa unapoishi. wanafundishwa maadili nidham na stad za kazi pia