Ndugu kwa ambae anafahamu shule nzuri ya wasichana yenye gharama nafuu anisaidie, kuna mtoto wa dada yangu kamaliza mwaka huu darasa la saba na wazazi wamechelewa kumtafutia shule, kwa anaejua ukiniambia na gharama za shule husika itapendeza zaidi!
Kama wako vizuri kichwani wapeleke Bright Future Girls Ada Yao ni 3m. Ila kama wakawaida wapeleke Baobab Girls Ada Yao ni 4m, ya kwanza iko dar es salaam, nyingine iko Bagamoyo maeneo ya mapinga