kdom JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 238 Reaction score 146 Feb 3, 2018 #1 N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi.
N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi.
muya ataho JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 508 Reaction score 340 Feb 3, 2018 #2 kdom said: N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi. Click to expand... Nenda mwanza kuna shule inaitwa mesa iko vizuri mi nimemaliza pale nina one yangu
kdom said: N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi. Click to expand... Nenda mwanza kuna shule inaitwa mesa iko vizuri mi nimemaliza pale nina one yangu
E epic Member Joined Jan 11, 2018 Posts 27 Reaction score 5 Feb 3, 2018 #3 kdom said: N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi. Click to expand... Nenda Itaga seminar
kdom said: N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi. Click to expand... Nenda Itaga seminar
kdom JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 238 Reaction score 146 Feb 4, 2018 Thread starter #4 muya ataho said: Nenda mwanza kuna shule inaitwa mesa iko vizuri mi nimemaliza pale nina one yangu Click to expand... Asante Vp gharama zao mkuu, wanalipa sh ngapi kwa mwaka(Ada)
muya ataho said: Nenda mwanza kuna shule inaitwa mesa iko vizuri mi nimemaliza pale nina one yangu Click to expand... Asante Vp gharama zao mkuu, wanalipa sh ngapi kwa mwaka(Ada)
muya ataho JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 508 Reaction score 340 Feb 4, 2018 #5 kdom said: Asante Vp gharama zao mkuu, wanalipa sh ngapi kwa mwaka(Ada) Click to expand... Million 1.8
kdom said: Asante Vp gharama zao mkuu, wanalipa sh ngapi kwa mwaka(Ada) Click to expand... Million 1.8
evart JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 2,838 Reaction score 2,774 Feb 4, 2018 #6 Nenda kazehill tabora