Shule nzuri ya nursery ya kiislam

Inategemea upo pande zipi,kuna KIGAMBONI,arqam ,algebra nzuri pia, ada 1,200,000
 
Wavaa makobazi kwenye ubora wao..wakati naanza darasa la kwanza tunafundishwa kuandika wale walioendaga madrassa wakawa wanafunua madaftari nyuma kabisa wanaanza kuandika kutoka nyuma kuja mbele ya daftari...hahaha usifanye mchezo na madrasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…