Shule inauzwa

Shule inauzwa

Nyamagondo

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
648
Reaction score
767
Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina vyumba 12 vya madarasa
-Ina jengo la utawala na maofisi
-Ina bwalo kubwa
-Ina nyumba 2 za walimu
-Ina hosteli 2 za boys na girls
-Ina zahanati ya shule
-Ina kisima cha maji kirefu cha kisasa
-Ina umeme
-Ina wanafunzi na walimu na other staff
-Ipo katika eneo la ekari 40
-Inafikika vizuri kwa gari, ni umbali wa kiasi kutoka main road.

Kwa kifupi ina details nyingi lakini hatuzitoi zote in public kwa kuhofia wazazi kuhamisha wototo wao wakiliona tangazo live kwamba shule inauzwa.

Kwa ambae yupo Interested kabisa kabisa njoo inbox utapata details zote pamoja na kuitembelea uione.
Pia kwa mwenye kumleta mteja atapata ya maji ya kunywa.

Bei yake inaanzia Tsh bilioni 2 , lakini inazungumzika vizuri tuu na unaweza kulipa kwa awamu. Pia tukizitoa zile ekari za eneo ibaki shule pekee bei inashuka zaidi hadi 1.5B

Pia tunaweza kuingia mkataba maalumu na mtu/taasisi kwa suala la ku outsource management, kwa hiyo hapo unatuma proposal ya kuhitaji halafu tunakuja kukaa kikao pamoja. Hapa bei inakua ndogo ni kulingana na muda unaotaka kuweka management yako katika shule.

Karibuni sana wakuu.
Namba zangu za simu ni 0745596315
 
Huja sema inawanafunzi wangapi kwa sasa
Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina vyumba 12 vya madarasa
-Ina jengo la utawala na maofisi
-Ina bwalo kubwa
-Ina nyumba 2 za walimu
-Ina hosteli 2 za boys na girls
-Ina zahanati ya shule
-Ina kisima cha maji kirefu cha kisasa
-Ina umeme
-Ina ofisi za walimu
-Ina wanafunzi na walimu na other staff
-Ipo katika eneo la ekari 40
-Inafikika vizuri kwa gari, ni umbali wa kiasi kutoka main road.

Kwa kifupi ina details nyingi lakini hatuzitoi zote in public kwa kuhofia wazazi kuhamisha wototo wao wakiliona tangazo live kwamba shule inauzwa.

Kwa ambae yupo Interested kabisa kabisa njoo inbox utapata details zote pamoja na kuitembelea uione.
Pia kwa mwenye kumleta mteja atapata ya maji ya kunywa.

Bei yake inaanzia Tsh bilioni 3 , lakini inazungumzika vizuri tuu na unaweza kulipa kwa awamu. Pia tukizitoa zile ekari za eneo ibaki shule pekee bei inashuka zaidi hadi 1.5B

Pia tunaweza kuingia mkataba maalumu na mtu/taasisi kwa suala la ku outsource management, kwa hiyo hapo unatuma proposal ya kuhitaji halafu tunakuja kukaa kikao pamoja. Hapa bei inakua ndogo ni kulingana na muda unaotaka kuweka management yako katika shule.

Karibuni sana wakuu.
Namba zangu za simu ni 0745596315
 
Kwa idadi hiyo ya wanafunzi shule iko katika "loss position". Nakushauri jaribu kuwasiliana na mashirika ya kitawa hao ndio wanaweza hizo biashara
Uko sahihi kuna shule wameichukua ilikuwa inasua sua karibu ifungwe sasahivi iko vizuri sana....Iko chini ya Jimbo kuu katoliki
 
Kwa idadi hiyo ya wanafunzi shule iko katika "loss position". Nakushauri jaribu kuwasiliana na mashirika ya kitawa hao ndio wanaweza hizo biashara
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako
Mashirika ya kitawa ni kama yapi?
 
Uko sahihi kuna shule wameichukua ilikuwa inasua sua karibu ifungwe sasahivi iko vizuri sana....Iko chini ya Jimbo kuu katoliki
Vipi mkuu
Waliinunua kabisa au waliingia mikataba ya kuweka tuu management
 
Kama unauza kwa ssbabu mnspata hasara.. je mnunuzi mtamshaurije anunue na apate faida? Yaani isitokee kuwa ilivyo sasa.. mna mipango ya kushauri ktk uendelezaji wa hiyo shule au?
 
nilikua mtoto Mkuu niliamin education is better than money,ila sasa hivi najitafutia mwenyewe naona pesa ndo kila kitu hope nibarikiwe na mimi niwe na bodyguards kama harmonize
Hahahaa
Pokea hizo baraka mkuu
 
Kwa atakae nunua shule hiyo nipo tayari niwe mkuu wa shule hiyo, kwa sasa ni mkuu wa shule ya serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom